Kwa wanafunzi wote mliopangwa katika shule yetu ya "Lulumba Secondary school" mnakaribishwa saana.
Jitahidi kuwahi mapema kwani masomo yanaanza wiki hii hivyo ukichelewa utakuta wenzako wameshamaliza TOPICS kadhaa kwani kwetu KUSOMA ndio kipaumbele chetu.
KARIBU SANA
LULUMBA SECONDARY SCHOOL
0 comments:
Post a Comment