KARIBUNI LULUMBA HIGH SCHOOL
Wanafunzi wa lulumba high school wakiwa paredi.
KARIBUNI WOTE LULUMBA HIGH SCHOOL.
Walimu wa lulumba high school.
SWALA LA USAFI NDIO KIPAUMBELE KATIKA SHULE YETU KARIBU SANA.
Walimu na wanafunzi katika muonekano tofauti.
Lulumba high school.
Education conquers all.
Monday, 27 September 2021
Saturday, 10 July 2021
Monday, 5 July 2021
Karibuni
Kwa wanafunzi wote mliopangwa katika shule yetu ya "Lulumba Secondary school" mnakaribishwa saana.
Jitahidi kuwahi mapema kwani masomo yanaanza wiki hii hivyo ukichelewa utakuta wenzako wameshamaliza TOPICS kadhaa kwani kwetu KUSOMA ndio kipaumbele chetu.
KARIBU SANA
LULUMBA SECONDARY SCHOOL
Thursday, 10 June 2021
JOINING INSTRUCTION 2021 KIDATO CHA TANO
Bonyeza hapa kupata joining instruction ya kidato cha tano shule ya Secondary Lulumba kwa mwaka wa masomo 2021/2022