KARIBUNI LULUMBA HIGH SCHOOL
Wanafunzi wa lulumba high school wakiwa paredi.
KARIBUNI WOTE LULUMBA HIGH SCHOOL.
Walimu wa lulumba high school.
SWALA LA USAFI NDIO KIPAUMBELE KATIKA SHULE YETU KARIBU SANA.
Walimu na wanafunzi katika muonekano tofauti.
Lulumba high school.
Education conquers all.
Tuesday, 23 June 2020
Monday, 22 June 2020
ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA LULUMBA SECONDARY SCHOOL KIDATO CHA TANO 2020
Bonyeza hapa chini kupakua na kusoma orodha hyo http://selform.tamisemi.go.tz/content/allocation-results/Placement/Index.html
KARIBUNI SANA LULUMBA SECONDARI
Thursday, 21 May 2020
Hellooo!
Ramadhan Kareem kwa Waislam wote.
Uongozi wa shule ya Secondari Lulumba Unawatangazia wanafunzi wote wa Kidato Cha Sita kuwa kwa Mujibu wa Tangazo la Mkuu wa Nchi na Serikali Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli linalowataka kurejea Shuleni mnamo tarehe 01/06/2020, Uongozi wa Shule ya Sekondari LULUMBA umejipanga vema kuwapokea wanafunzi hao kwa mujibu wa maelekezo yatakayotolewa na ngazi za juu (Wizara). Sambamba na maelekezo yatakayotolewa, uongozi wa shule ya sekondari Lulumba unawataarifu wanafunzi wake wa kidato cha sita kuendelea kujiandaa kama ilivyo ada yao na kwamba mara tu baada ya kufungua shule kutakuwa na mwendelezo wa mitihani ya Internal Pre-Necta ambayo haikumalizika kutokana na janga la Korona (COVID-19) tayari kwa kutoa matokeo na kuendelea na ratiba nyingine kwa mujibu wa maelekezo yatakayotolewa. Mitihani hiyo itafanyika wiki moja baada ya kufungua shule yaani Jumatatu tarehe 8-10 juni 2020.
Tafadhali wazazi/walezi au kama una mwanafunzi ndugu yako mjulishe kuhusu hili ili taarifa hii isambae kwa wanafunzi wote wa kidato cha sita wa shule ya sekondari LULUMBA haraka iwezekanavyo.
*KARIBUNI TENA LULUMBA SEKONDARI*